Makundi Ya Bidhaa

Mwaka huu, TBP imezindua bidhaa mbalimbali zenye ubora wa kimataifa. Bidhaa hizi zimetengenezwa kwenye kiwanda chetu cha kisasa cheneye uwezo wa kutengeneza brashi za plastiki za kiwango cha kipekee. Mzigo wetu unaturuhusu kujivunia kwa ubora wake.

Motto

Jivunie utanzania, Nunua vya Tanzania.