Maneno Ya Mkurugenzi

Maneno Kutoka Kwa Mkurugenzi wetu.

Miaka 50 iliyopita, nilianza safari ya mabadiliko iliyotaka ujasiri. kampuni kuendelea kwa kasi ille ile kwa zaidi ya miaka hamsini sio kazi ndogo, hasa ukizingatia kwamba kulikuwa na changamoto kubwa za kiuchumi na tasnia.

Ninajivunia jinsi Tanzania Brush Products imekubali mabadiliko, upekee na uvumbuzi katika miaka michache iliyopita kutumikia mahitaji ya Watanzania milioni 56 , idadi ambayo inazidi kukua; achia mbali mahitaji ya walio nje ya mipaka.

Kwa niaba ya timu ya Tanzania Brush products, tunatarajia kukuhudumia wewe na mahitaji ya biashara yako na kusaidia maono ya nchi yetu ya maendeleo na ukuaji.

director-img

Shabbir Zavery & Murtaza Zavery, Mkurugenzi, Tanzania Brush Products.

Falsafa yetu inaongozwa na kanuni tatu ambazo zinaelezea mengi juu ya asili na undani wa kampuni yetu.

  1. Wateja wetu wako kwenye kiini cha kila uamuzi tunaofanya na tunajitahidi sio tu kutimiza mahitaji yao lakini pia kuwafanyia ziada.

  2. Tumepokea na kukubali uvumbuzi kwa kutumia mbinu za kisasa na endelevu kuweza kutimiza haja za nchi na mabadiliko ya haraka.

  3. Katika utamaduni wetu wenye shughuli nyingi, wa haraka, tunazingatia kujenga mahusiano ya muda mrefu, ndani ya timu yetu na na yetu

Ninajivunia kuweza kudumisha ubora wa bidhaa zetu na kubuni bidhaa mara kwa mara kwa miaka hii yote. Si hivyo tu, bali pia tuna nguvukazi ambayo ni wazee kama mimi katika kampuni; tuna wafanyakazi kutoka vizazi vitatu tofauti mahali hapa na pia tuna uhusiano mzuri na mamlaka ya udhibiti na tunatii.

Kwa niaba ya timu ya Tanzania Brush products, tunatarajia kukuhudumia wewe na mahitaji ya biashara yako na kusaidia maono ya nchi yetu ya maendeleo na ukuaji.

Shabbir Zavery,
Mkurugenzi,
Tanzania Brush Products.